TSK

TSK · Mathayo 21:2

Treasury of Scripture Knowledge references in Swahili NT.

Back to passage

Yeye akawajibu, "Nendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie: Mwalimu anasema, wakati wangu umefika; kwako nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu."

Basi Yesu akawatuma wawili wa wanafunzi wake akiwaambia, "Nendeni mjini, nanyi mtakutana na mtu anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni

Hapo mama yake akawaambia watumishi, "Lolote atakalowaambieni, fanyeni."