TSK

TSK · Yohana 13:32

مراجع Treasury of Scripture Knowledge في Swahili NT.

العودة إلى المقطع

Yesu akawaambia, "Saa ya kutukuzwa kwa Mwana wa Mtu imefika!

Mimi nimekutukuza hapa duniani; nimeikamilisha ile kazi uliyonipa nifanye.

lakini siku hizi za mwisho, amesema nasi kwa njia ya Mwanae. Yeye ndiye ambaye kwa njia yake Mungu aliumba ulimwengu na akamteua avimiliki vitu vyote.

"Wale wanaoshinda nitawaketisha pamoja nami juu ya kiti changu cha enzi, kama vile mimi mwenyewe nilivyoshinda nikaketi pamoja na Baba yangu juu ya kiti chake cha enzi.

Kisha malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima maangavu kama kioo yakitoka kwenye kiti cha enzi cha Mungu na Mwanakondoo.