كل أسفار Swahili NT

Yohana 21

Swahili NT · الآية 20

21 أصحاحات

Swahili NT / Yohana / الأصحاح 21

Swahili NT · الآية 20

H apo Petro akageuka, akamwona yule mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda, anafuata (Huyu mwanafunzi ndiye yule ambaye wakati wa chakula cha jioni, alikaa karibu sana na Yesu na kumwuliza: "Bwana ni nani atakayekusaliti?")