TSK

TSK · Luka 3:21

مراجع Treasury of Scripture Knowledge في Swahili NT.

العودة إلى المقطع

Baada ya kuwaaga, alipanda mlimani peke yake kusali. Ilipokuwa jioni, yeye alikuwa huko peke yake,

Luka 5:16 TSK

Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.

Luka 9:28 TSK

Yapata siku nane baada ya kusema hayo, Yesu aliwachukua Petro, Yohane na Yakobo, akaenda nao mlimani kusali.

"Sasa roho yangu imefadhaika, na niseme nini? Je, niseme: Baba, usiruhusu saa hii inifikie? Lakini ndiyo maana nimekuja--ili nipite katika saa hii.