TSK

TSK · Yohana 11:21

Treasury of Scripture Knowledge references in Swahili NT.

Rudi kwenye kifungu

Yesu alipokuwa akisema hayo, ofisa mmoja Myahudi alifika, akamwinamia na kusema, "Binti yangu amekufa sasa hivi. Lakini, tafadhali njoo umwekee mkono wako naye ataishi."

Luka 7:13 TSK

Bwana alipomwona mama huyo, alimwonea huruma, akamwambia, "Usilie."

Basi, huyo ofisa aliposikia kuwa Yesu alikuwa ametoka Yudea na kufika Galilaya, alimwendea akamwomba aende kumponya mtoto wake aliyekuwa mgonjwa mahututi.

Lakini baadhi yao wakasema, "Je, huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya Lazaro asife?"