TSK

TSK · Luka 17:5

Treasury of Scripture Knowledge references in Swahili NT.

Rudi kwenye kifungu

Wale mitume walirudi, wakakusanyika mbele ya Yesu wakamwarifu yote waliyotenda na kufundisha.

Luka 7:13 TSK

Bwana alipomwona mama huyo, alimwonea huruma, akamwambia, "Usilie."

Tumwelekee Yesu ambaye ndiye aliyeianzisha imani yetu na ambaye ataikamilisha. Kwa ajili ya furaha iliyokuwa inamngojea, yeye alivumilia kifo msalabani, bila kujali juu ya aibu yake, na sasa anaketi upande wa kulia wa kiti cha enzi cha Mungu.