كل أسفار Swahili NT

Yohana 21

Swahili NT · الآية 18

21 أصحاحات

Swahili NT / Yohana / الأصحاح 21

Swahili NT · الآية 18

K weli nakwambia, ulipokuwa kijana ulizoea kujifunga mshipi na kwenda kokote ulikotaka. Lakini utakapokuwa mzee utanyosha mikono yako, na mtu mwingine atakufunga na kukupeleka usikopenda kwenda."