كل أسفار Swahili NT

Yohana 21

Swahili NT · الآية 17

21 أصحاحات

Swahili NT / Yohana / الأصحاح 21

Swahili NT · الآية 17

A kamwuliza mara ya tatu, "Simoni mwana wa Yohane! Je, wanipenda?" Hapo Petro akahuzunika kwa sababu alimwuliza mara ya tatu: "Wanipenda?" akamwambia, "Bwana, wewe wajua yote; wewe wajua kwamba mimi nakupenda." Yesu akamwambia, "Tunza kondoo wangu!