كل أسفار Swahili NT

Yohana 21

Swahili NT · الآية 6

21 أصحاحات

Swahili NT / Yohana / الأصحاح 21

Swahili NT · الآية 6

Y esu akawaambia, "Tupeni wavu upande wa kulia wa mashua nanyi mtapata samaki." Basi, wakatupa wavu lakini sasa hawakuweza kuuvuta tena kwa wingi wa samaki.