All books in Swahili NT

Matendo ya Mitume 21

Swahili NT · verse 26

28 sura

Swahili NT / Matendo ya Mitume / sura 21

Swahili NT · verse 26

B asi, kesho yake Paulo aliwachukua wale watu akafanya ibada ya kujitakasa pamoja nao. Kisha akaingia Hekaluni kutoa taarifa kuhusu mwisho wa siku za kujitakasa na kuhusu dhabihu itakayotolewa kwa ajili ya kila mmoja wao.