Coptic prayer collection

Communion

Prayers before and after receiving Holy Communion, asking for purity of heart, giving thanks, and seeking grace to live what has been received.

4 prayers Browse all prayers

Communion

Sala Kabla ya Komunyo Takatifu 1

O Lord, I am not worthy

Ee Bwana, sistahili Wewe uingie chini ya paa la nyumba yangu, kwa maana mimi ni mwenye dhambi; lakini sema tu neno, na nafsi yangu itapona. Liseme kwa nafsi yangu: “Umesa…

Communion

Sala Kabla ya Komunyo Takatifu 2

O Father, Prince of Life

Yesu Kristo, Bwana wa Uzima na Mungu Mwenyezi, Wewe ndiwe mkate wa kweli wa uhai uliye shuka kutoka mbinguni, na Wewe uwapa uzima wale wanaoupokea Mwili Wako na Damu Yako…

Communion

Sala Baada ya Komunyo Takatifu 1

My heart has been filled with joy

Moyo wangu umejawa na furaha na ulimi wangu na shangwe. Roho yangu na amtukuze Bwana, na nafsi yangu na ifurahi kwa Mungu Mwokozi wangu. Nimekukaribia Wewe, Ee Bwana, uni…

Communion

Sala Baada ya Komunyo Takatifu 2

O God, how great is Thy gift

Ee Mungu, ilivyo kuu zawadi uliowawekea wakuchoao. Jinsi ilivyo tamu neema Yako kwa wakupendao.