TSK

TSK · Luka 21:33

مراجع Treasury of Scripture Knowledge في Swahili NT.

العودة إلى المقطع

Naam, mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

Lakini neno la Bwana hudumu milele." Neno hilo ni hiyo Habari Njema iliyohubiriwa kwenu.

Kisha nikaona kiti cha enzi kikubwa cheupe, na yule aketiye juu yake. Dunia na mbingu vikatoweka mbele ya macho yake, na havikuonekana tena.